MENU (2)

SINGIDA BIG DAY 2022 | Kagere, Wawa, Wabrazili watambulishwa Singida Big Stars

Timu ya Singida Big Stars hii leo katika tamasha lake imetambulisha wachezaji wa timu hiyo huku utambulisho ulioshitua zaidi ni utambulisho wa wachezaji Medie Kagere na Pascal Wawa waliokuwa wachezaji wa Simba SC wakitambulishwa kama wachezaji wandamizi kikosini hapo.

#TikTok #sanderlei #shorts

SINGIDA BIG DAY 2022 | Kagere, Wawa, Wabrazili watambulishwa Singida Big Stars 「YouTube」